Swahili Useful Phrases and how to pronounce them
A collection of Swahili useful phrases. Click on the Swahili phrases to listen to an audio recording of the pronunciation
English
kiSwahili (Swahili)
Welcome
Hello
Habari (inf)
Hujambo (sg)
Hamjambo (pl)
Sijambo (reply)
Pleased to meet you
Nafurahi kukuona / Nimefurahi kukutana nawe
How are you?
Habari? Hujambo?
Habari yako?
Habari gani?
I’m fine, thanks And you?
Nzuri / Sijambo
What is your name?
Jina lako ni nani?
My Name is….
Jina langu ni …
Where are you from?
Unatoka wapi?
I’m from ….
Natoka …
Good Morning
Good Afternoon
Habari ya mchana
Good Evening
Habari ya jioni
Good Night
Usiku mwema / Lala salama (sleep well)
GoodBye
Good Luck
Kila la kheri!
Cheers/Good Health
Maisha marefu! Afya! Vifijo!
Bon Voyage
Safari njema!
I don’t understand
Sielewi
Please speak more slowly
Tafadhali sema polepole
Do you speak English?
Unazungumza kiingereza?
Yes, a little
Ndiyo, kidogo tu
Excuse me?
Samahani nipishe (to get past)
Samahani (to get attention or say sorry)
Sorry
Samahani
Thank you
Asante / Asante sana (sg) / Asanteni (pl)
You’re Welcome
Asante kushukuru
Where’s the toilet?
Choo kiko wapi?
I Love you
Ninakupenda
Merry Christmas and Happy New Year
Krismasi Njema / Heri ya krismas
Heri ya mwaka mpya
Happy Easter
Heri kwa sikukuu ya Pasaka
Happy Birthday
Nakutakia mema kwa siku yako ya kuzaliwa!
Siku-kuo ya zaliwa njema! Furaha Ya Siku Ya Kuza Liwa!
Special Thanks to Simon Ager, www.omniglot.com
Corrections, recordings and some translations by Ylanne Sorrows and Rushomesa Remigius